Bud Spencer : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 25:
 
==Shughuli za uigizaji==
Bud Spencer filamu zake za awali alikuwa akiigiza kama moja kati ya walinzi wa la Praetoria, katika filamu ya Quo Vadis, ni filamu iliochezwa nchini [[Italia]], mnamo mwaka [[1951]]. Kwenye miaka ya [[1950]] hadi miaka ya [[1960]], Spencer ameonekana katika baadhi ya filamu za [[Italia|kiitalia]], lakini bado kazi zake zilikuwa zinaushindani mdogo hadi kufikia mwishoni mwa miaka ya [[1960]].
 
Spencer baadae akakutana na mwigizaji filamu mmoja aitwaye [[Terence Hill]], ambaye kwa pamoja wakafanya [[Filamu za Western|filamu nyingi tu za Western]] ya [[Italia]], maarufu kama [[Spaghetti Western|spaghetti western]], na nyingine nyingi, ikiwemo zile walizokuwa wakiziitwa kwa la [[Marekani|kiamreka]], filamu hizo ni kama zifuatavyo: