Jiolojia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 139 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1069 (translate me)
Mstari 17:
== Aina za miamba ==
Jiolojia inachuguza hasa [[Mwamba (jiolojia)|miamba]] na kutofautisha aina tatu kufuatana na misingi yao:
* Mwamba Moto-mwamba wa mgando au mwamba wa kivolkeno unajitokeza pala ambako magma au lava inaganda.
* Mwamba Tabaka-mwamba mashapo hutokea pale ambako miamba inavunjika na kusagwa katika mmomonyoko na mashapo yanakandamizwa kwa njia ya kanieneo ya mashapo ya juu hadi mashapo kuwa mwamba mapya.
* Mwamba Geu-mwamba metamofia ni mageuzi ya miamba ya awali -ama ya kivolkeno au ya mishapo- kwa njia ya kanieneo kubwa sana na joto kali kuwa aina mpya ya mwamba. Metamofosi kwa kawaida hutokea katika kina kubwa.