Uwanja wa ndege : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 10:
Nyanja kubwa zinazohudumiwa na makampuni mbalimbali ya ndege huwa na barabara za lami au saruji zaidi ya moja zenye urefu wa 2 – 4 km. Kadri eropleni ni kubwa na nzito inahitaji barabara ndefu zaidi. Barabara ya ndege ndefu duniani iko China yenye kilomita 5.5. Kwenye nyanja za wastani barabara ileile hutumiwa kwa kutua na kuruka lakini kwenye nyanja zenye ndege nyingi sana barabara hizi zimetengwa.
 
===Barabara za kando (taxiway)===
Pamoja na barabara za kutua na kuruka uwanja mkubwa unahitaji pia barabara za kando (taxiway) zinazowezesha ndege kutembea kutoka pandesehemu moja waya uwanja hadi nyingine bila kuzuia matumizi ya barabara ya kutua na kuruka kwa ndege nyingine. Maana kuna umbali wa kilomita 1 au zaidi kutoka kituo cha abiria (terminal) hadi chanzo cha barabara ya kuruka na kutua. Katika Nyanjanyanja kubwa kuna ndege inayofikazinazofika au kuondoka kila baada ya dakika chache kwa hiyo kila wakati kuna ndege zinazotembea kutoka mwisho wa barabara ya kutua (baada ya kufika) hadi kituo cha abiria au kinyume kutoka kituo cha abiria kuelekea chanzo cha barabara ya kuruka.
[[file:Airport_infrastructure.png|thumb|600px|Muundo wa Uwanja wa Ndege]]
 
===Kituo cha abiria (terminal)===
Kituo cha abiria (terminal) ni jengo ambako abiria hufika ama kwa njia ya usafiri wa umma au kwa magari halafu kuingia kwenye ndege. Ni pia jengo ambako wanafika baada ya kunalizakumaliza safari kwa ndege. Kwa hiyo kituo hiki kinapaswa kuwa na nafasi za kuegesha magari pamoja na stendi za basi au hata kituo cha reli ndani au kando yake.
 
Ndani ya kituo cha abiria kuna sehemu za mapokezi ambako wasafiri huonyesha tiketi, kuandikishwa kwenye orodha ya abiria na kukabidhi mizigo kwa kampuni ya ndege. Halafu wanapita mlango wa polisi au watumishi wa usalama wanaochungulia vitambulisho au pasipoti na kuhakikisha watu wasilete vitu vya hatari.
Line 21 ⟶ 23:
Ndani ya uwanja kuna milango au geti za kuondoka na kila eropleni ina geti yake wanapokutana abiria wa safari ileile. Hapa watumishi wanarudia kuangalia tiketi na kuongoza abiria ndani ya ndege.
 
Kwenye nyanja ndogo ndege zinafika kwenye uwanja mbele ya kituo cha abiria na abiria wenyewe hutembea kwa mguu kati ya kituo na eropleni. Kwenye nyanja kubwa zaidi wanasafirishwa kwa mabasi kati ya jengo na ndege. Nyanja kubwa za kisasa zina pia nafasi nyingi kwa ajili ya ndege kufika kwenye madaraja ya kusogezwa yanayowezesha abiria kutembea moja kwa moja kutoka ndege hadi jengo la kituo au kinyume.
 
==Viungo vya nje ==