Mtende (mti) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa mpya
 
dNo edit summary
Mstari 14:
| spishi = nyingi
}}
'''Mitende''' ni [[mti|miti]] mikubwa ya [[jenasi]] ''[[Phoenix]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Arecaceae]]. [[Tunda|Matunda]] huitwa [[tende|matende]]. Asili ya miti hii ni ukanda kutoka [[Visiwa vya Kanari]] kupiakupitia [[Afrika ya Kaskazini]] na [[Asia ya Kusini]] mpaka [[Malaysia]] na [[Uchina]] Kusini. Mti unaojulikana sana ni [[mtende wa kawaida]] na mti huu hupandwa sana katika [[oasisi]] za majangwa ya [[Afrika]] na [[Asia]] na pembezoni kwa majangwa haya. Spishi nyingine humea katika [[kinamasi|vinamasi]] na [[msitu|misitu]] ya [[mkoko|mikoko]].
 
==Picha==