Edward Moss : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{Infobox actor | jina = Edward Moss | picha = | ukubwa wa picha = 200px | maelezo ya picha = | jina la kuzaliwa = | tarehe ya kuzali...'
 
+kuboresha makala
Mstari 9:
| ndoa =
}}
'''Edward Moss''' (amezaliwa tar. [[11 Julai]] [[1977]]) ni mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini [[Marekani]]. Anafahamika zaidi kwa kuigiza na kucheza kama hayati [[Michael Jackson]] kwenye filamu na vipindi vya TV.<ref name=BBC1>{{cite web |url= http://www.bbc.co.uk/1xtra/tx/gallery/edward_moss.shtml?select=01|title=Jackson lookalike gets into character |accessdate=2008-09-11 |last= |first= |coauthors= |date= |work= |publisher=[[bbc.co.uk]]}}</ref><ref name=IHT>{{cite web |url= http://www.iht.com/articles/2005/03/02/features/moss.php|title= The moonwalk, and lots of makeup|accessdate=2008-09-10 |last= |first= |coauthors= |date=2005-03-03 |work=[[International Herald Tribune]] |publisher=}}</ref> Awali alikuwa anafanya katika kampuni ya [[McDonald's]] mwanzoni mwa miaka ya 1990, ambapo wafanyakazi wenzake walikuwa wakimwambia kama anafanana sana na mwimbaji Michael Jackson; hivyo basi Moss akaingia katika shindano la kutafuta watu wenye vipaji na kubahatika kushinda, na kadiri muda unavyokwenda, ameamua kujitafutia riziki yake kwa kujifanya kama Jackson.
'''Edward Moss''' (amezaliwa tar. [[11 Julai]] [[1977]]) ni mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini [[Marekani]].
 
==Marejeo==