Casper Van Dien : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Casper Van Dien
 
Mstari 21:
==Wasifu==
===Maisha ya awali===
Casper alikulia mjini Ridgewood, New Jersey. Mama yake ni mwalimu mstaafu wa shule za chekecha ( Kwa kiing: nursery school), na baba yake ni rubani mstaafu wa jeshi la Navy Marekani. Kuna asilimia kubwa ya familia ya Van kuwa wanajeshi. Ukiachia baba yake, babu yake alikuwa mwanajeshi wa maji wakati ule wa [[Vita kuu ya pili ya dunia]].

Van Dien inaonyesha kuwa familia yake ni m-dutch waliofika miaka mingi sana na kuishi mjini New York: kwa upande mwingine anaasili ya [[Uswidi]], [[Ufaransa]], [[Uingereza]] na Uzawa wa [[Marekani|kiamerika]]. Akiwa na umri mkubwa tu, familia yake ilirudi Florida, ambako alikuja kujiandikisha katika shule ya St. Petersburg ni moja ya tawi la Admiral Farragut Military Academy, hiyo ilkuwa shule ya jeshi na akahitimu cheo cha tatu katika ukomandoo.
 
==Maisha binafsi==
Van alimuoa Carrie Mitchum (mjukuu wa Robert Mitchum) toka mwaka 1993 hadi 1997 walivyo tarikiana. Kwa pamoja walizaa watoto wawili: Cappy (Casper Robert Mitchum Van Dien) na Gracie (Caroline Dorothy Grace Van Dien). Wakati pekee wanandoa hawa wakifanya kazi pamoja katika filamu James Dean: Race with Destiny, ambayo pia Robert Mitchum alishiriki, basi ndoa yao ilkiuwa inakaribia ukingoni.