Casper Van Dien : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 30:
Van pia alicheza cheza kidogo na huyu mwigizaji Denise Richards kwa muda mfupi, wakati wanatengeneza filamu ya Starship Troopers.
 
Wakati wa kutengeneza filamu ya The Collectors, Van akaonana na Catherine Oxenberg. Wakaja kufanya kazi tena katika filamu ya kutisha ya kikristo iliyokuwa inajulikana kama The Omega Code. Wawili hao baadae waliona mnamo [[MeeMei]] mwaka [[1999]]. Oxenberg alikuwa na mtoto mmoja wa kike, aitwae India, kutoka katika ndoa yake ya kwanza. Van Dien na Oxenberg kwa sasa wana watoto wawili wa kike, Maya na Celeste.
 
==Filamu alizoigiza==