Jamhuri ya Watu wa Zanzibar : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 33:
[[Image:Visiwa vya Zanzibar.JPG|thumb|left|250px|Visiwa vya Zanzibar ([[Unguja]] na [[Pemba]])]]
[[Image:Zanzibar and Pemba Islands.jpg|thumb|Visiwa vya Unguja na Pemba (ramani haionyeshi umbali kati ya visiwa hali halisi)]]
[[File:Zanzibar Harbour.jpg|thumb|Bandari ya Zanzibar]]
 
'''Jamhuri ya Watu wa [[Zanzibar]]''' ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa [[Tanzania]] inayojitawala katika mambo yake ya ndani. Eneo lake ni sawa na [[funguvisiwa]] ya '''Zanzibar''' iliyopo mbele ya mwambao wa [[Afrika ya Mashariki]] karibu na [[Tanganyika (nchi)|Tanganyika]] au Tanzania bara. Inajumuisha visiwa vikubwa vya [[Unguja]] na [[Kisiwa cha Pemba|Pemba]] pamoja na visiwa vidogovidogo.