Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Twamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo - hata kuitafsiri kutoka katika Wikipedia kwa lugha nyingine. Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wa sanduku la mchanga. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike pekee kwenye ukurasa wako wa mtumiaji baada ya kufungua akaunti. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho. Ujue miiko: usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje wala matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo). Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!

Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non speaker better first communicate with one of our admins who will advise you. You find them at Wikipedia:Wakabidhi. And btw: NEVER post computer translated texts (like google-translate, mediawiki Content Translation etc.) nor copied texts/images from other webs to this site! And do not use links to commercial pages. As a newcomer we advise that you register your email which will not be visible to others but it allows to contact you, which often is helpful in case of problems.

--Baba Tabita (majadiliano) 07:09, 17 Desemba 2012 (UTC)

Madaraja nchi mbalimbali barani AfrikaEdit

Salaam, Ndugu Alifazal! Nimeona juhudi zako kadha wa kadha katika uanzishaji wa makala za madaraja barani Afrika. Binafsi, nimependezewa! Je, umefikiria labda kupanua maandishi zaidi badala ya kuandaa mbegu? Yaani, makala fupifupi tu? Ni wazo tu. Toa fikra zako kadiri uwezevyo kisha nione nitasaidia vipi katika hili. Wako Muddyb au,--MwanaharakatiLonga 08:11, 2 Mei 2013 (UTC)

Hivi ujumbe wangu umeuona? Au labda hujanisoma niandike kwa Kiingereza?--MwanaharakatiLonga 14:11, 2 Mei 2013 (UTC)
Habari Ndugu Muddy. Asante sana kwa ujumbe yako. Ningependa ma-editor wengine wanisaidie kupanua maandishi haya. Ali Fazal (majadiliano) 14:14, 2 Mei 2013 (UTC)

Wiki Indaba conferenceEdit

Salaam, ndugu. Kuna mpango wa mkutano mjini Johannesburg mwezi wa pili mwakani, angalia http://wikiindaba.net/index.php?title=Main_Page - pia, umeombwa kujibu maswali yao kwenye tovuti la Google docs: https://docs.google.com/forms/d/1zEk6hw4IiQYVrdJGYphPhQHOQFi4wdOIXvzVj9vy_gU/viewform Asante kwa msaada wako. Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 12:35, 4 Novemba 2013 (UTC)

Update on Upcoming Wiki Indaba ConferenceEdit

Hello Sir. My name is Rexford Nkansah, currently serving as a Wikipedian in Residence at the Africa Centre in Cape Town.

The Wikimedia Foundation has shared with us the incredible number of edits that you have done on this Wikipedia. You have are one of those with the high contribution to this Wikipedia.

As one of the highest contributors to one of the languages of the African continent, I want to inform you about the upcoming Wiki Indaba Conference which is similar to Wikimania, however, its designed by Africans for Africans.

This message is to inform you about scholarship to attend application currently open. You're invited to apply for scholarship to attend this conference.

Please see the main Wiki Indaba Website for more details on Eligibility and Deadline – look at www.wikiindaba.net for more details. And like the facebook page for updates.

Please don't hesitate to get in touch should you have any questions.

my contact is rexford[@]wikiafrica.net --Nkansahrexford (majadiliano) 10:18, 31 Machi 2014 (UTC)

Mohamed AminEdit

Thank you for starting an article on him! Are you interested in starting a short article on Ethiopian Flight 961? WhisperToMe (majadiliano) 01:51, 1 Oktoba 2014 (UTC)

Salaamu AlifazalEdit

Salamu je uko Afrika ya Mashariki? Kuna mipango ya mkutano wa TZ/Kenya. Kama unaishi hapa usome Majadiliano_ya_Wikipedia:Wakabidhi#Mawasiliano_na_ofisi_ya_WMF_-_Wikimedia_Foundation_.2F_Asaf_Bartov Kipala (majadiliano) 10:03, 3 Desemba 2014 (UTC)


Tafadhali uangalie jamii kuhusu mfumo wa kuanzisha makalaEdit

Mpendwa, nakuomba kuaangalia ukurasa wa Jumuiya. Tuliomba wikimedia ya kutpa mfumo wa kuzuia watumiaji wasiojiandikisha wasianzise makala mapya. Kusudi lilikuwa kupunguza idadi ya makala mabaya yasiyotosheleza masharti ya wikipedia ilhali tuko wachache mno kuziangalia. Wikipedia kubwa kadhaa zinatumia utaratibu huu (kama en:wikipedia) lakini sisi tunapaswa kupeleka ombi kwa kamati fulani. Kamati hii wametupa nafasi kwa kipindi ha miezi 6 tu inayokwisha karibuni. Sasa wanakamati wamekuja wanadai tujieleza au watarudisha mfumo huu nyuma. Mimi nikiwa 1 kati ya wachache wanaochugulia makala mapya naona itaturudisha nyuma. Naomba mchangie! Sanaaaaa!! Kipala (majadiliano) 23:36, 10 Septemba 2015 (UTC)