Wilaya ya Nzega Vijijini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d ondoa interwiki --> wikidata using AWB
Mstari 3:
 
==Eneo la Nzega==
Imepakana na [[wilaya ya Kahama]] ([[mkoa wa Shinyanga|Shinyanga]]) upande wa kaskazini-magharibi, [[wilaya ya Tabora mjini]] upande wa kusini na [[wilaya ya Igunga]] upande wa mashariki.
 
Wilaya hii ina eneo la 9,226&nbsp;km<sup>2</sup> na sehemu kubwa ni ardhi yenye rutba inayofaa kwa kilimo. Inapokea mvua milimita 9,000 kwa mwaka.
Mstari 16:
 
==Mawasiliano==
Barabara kuu inayoelekea [[Rwanda]] na [[Burundi]] inapita wilayani kuna njia za kwenda [[Shinyanga]], [[Mwanza]] na [[Tabora]]. Jumla ya barabara ni kilomita 1,137 lakini hakuna barabara za lami ni theluthi moja tu inayopitika mwaka wote.
 
[[Reli ya kati]] kutoka Dar es Salaam kupitia [[Tabora]] kwenda [[Shinyanga]] inapita wilayani pia.
 
Miji ya [[Nzega]] na [[Bukene]] ina simu na posta. Uenezaji wa simu za mkononi umesaidia mawasiliano nje ya miji hii.
Mstari 28:
==Afya==
Kuna hospitali mbili moja ni hospitali ya wilaya upande wa serikali na nyingine ni hospitali ya Ndala iliyoko chini ya kanisa katoliki. Kuna sahanati 4 za serikali na 1 ya kanisa katoliki. Kliniki 29 ziko chini ya serikali, 3 za watu binafsi na mbili za kanisa.
 
Huduma za afya hazitoshi ni chache kulingana na idadi ya watu. Tatizo kubwa ni hali mbaya ya chakula na wakina mama wengi kiasi wanakufa wakati wa kuzaa.
Mstari 52:
{{mbegu-jio-TZ}}
 
{{Kigezo:Kata za Wilaya ya Nzega}}
 
[[Jamii:Wilaya za Mkoa wa Tabora|N]]
[[Jamii:Wilaya ya Nzega| ]]
 
[[en:Nzega]]