Wikipedia:Mwongozo (Kumbuka) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+ Yasiyofaa
Mstari 24:
 
*Si mahali pa '''kujitangaza mwenyewe'''. Kama wewe ni mwandishi, mwimbaji au msanii bora haifai ukieleza ubora wako mwenyewe. Subiri tu kidogo hadi wengine wanakujua na kuimba sifa zako!
** Usianzishe makala juu yako mwenyewe katika sehemu ya kamusi! Unaweza kutumia nafasi ya ukurasa wako wa mtumiaji. Hapa uko huru kuleta habari juu yako. Nje ya hapo ni marufuku!
 
** Usitaje jina lako katika makala kama mwandishi.
* Usianzishe makala juu yako mwenyewe katika sehemu ya kamusi! Unaweza kutumia nafasi ya ukurasa wako wa mtumiaji. Hapa uko huru kuleta habari juu yako. Nje ya hapo ni marufuku!
 
* Usitaje jina lako katika makala kama mwandishi.
 
==Msimamo wa kutopendelea upande==