Wikipedia:Mwongozo (Kumbuka) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+ Yasiyofaa
nukuu
Mstari 12:
Kamusi elezo si sawa na kamusi ya lugha. Kwa hiyo makala zinazoeleza maana ya neno tu si shabaha yetu. Kuna mradi ndugu wa [http://sw.wiktionary.org/wiki/Mwanzo Wikamusi] kwa kamusi ya lugha ingawa ni changa bado.
 
Pia maandishi marefu kutoka kitabu -ama kitabu chako mwenyewe au kitabu kinachopatikana kama maandiko huria kwenye intaneti hayafai kuingizwa vile hapa wikipedia. Kuna mradi mwingine kwa maandishi ya aina hii ambao unaitwa [[Wikisource]]. Lakini nukuu fupi inakubalika.
 
==Miradi ndugu ya wikipedia==