Kuku-mwamba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ramani na picha
dNo edit summary
Mstari 19:
| maelezo_ya_ramani = Usambazaji wa kuku-mwamba (pinki=P. gymnocephalus; buluu=P. oreas)
}}
'''Kuku-mwamba''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wakubwa kiasi wa [[jenasi]] ''[[Picathartes]]'', jenasi pekee ya [[familia (biolojia)|familia]] [[Picathartidae]]. Wanatokea [[msitu|misitu]] ya [[Afrika]] kusini kwa [[Sahara]]. Kuku-mwamba wana domo kubwa kama lile la [[kunguru]] na kichwa bila manyoya chenye rangi kali (nyeusi na njano au nyekundu). Pia wana rangi ya nyeusi au kijivucheusi juu na nyeupe chini. Shingo yao ni nyeupe au ina rangi ya kijivu. Hula [[mdudu|wadudu]], kama [[bungo]], [[mchwa]] na [[sisimizi]], pia [[jongoo|majongoo]], [[tandu]], [[nyungunyungu]], [[konokono]] na hata [[chura|vyura]] na [[mjusi|mijusi]]. Hulijenga tago lao kwa matope chini ya mwamba. Jike huyataga [[yai|mayai]] mawili.
 
==Spishi==