Tofauti kati ya marekesbisho "Pogromu"

136 bytes added ,  miaka 6 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Pogromu''' (kutoka rus. погромить (''pogromit'') - kuharibu vikali, kufanya fujo) ni neno la kutaja ghasia kali inayolengwa dhidi ya kundi maalu...')
 
'''Pogromu''' (kutoka [[rus.]] погромить (''pogromit'') - kuharibu vikali, kufanya fujo) ni neno la kutaja ghasia kali inayolengwa dhidi ya kundi maalumu kama vile wafuasi wa dini au kabila fulani.
 
Neno latokana na ghasia za fujo katika [[Urusi]] wa karne ya 19 zilizo ambako [[Wayahudi]] walishambuliwa, maduka na nyumba zao kuharibiwa na idadi ya watu kuuawa hovyo. Kwa hiyo neno "pogromu" lataja hasa mashambulio dhidi ya Wayahudi katika Ulaya. Lakini inatumiwa pia kwa mashambulio dhidi ya vikundi vingine.
 
[[jamii:Siasa]]