Sauti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Sauti''' (kutoka ar. صوت ''saut'') inamaanisha kile tunachosikia kwa masikio yetu. Kifizikia sauti ni uenezaji wa mabadiliko ya densiti na s...'
 
No edit summary
Mstari 7:
 
Wakati mitetemo ya hewa iliyosababishwa na pigo la makofi inafikia katika sikio inaleta hapa mtetemeko kwa kiwambo cha sikio ambacho ni ngozi inayotikisishwa na mitetemo ya sauti. Neva ya sikio inabadilisha mwendo huu kwa mpwito wa umeme unaopelekwa kwenye sehemu husika ya ubongo. Kwa lugha nyingine "tunasikia sauti".
 
Nguvu ya mshtuko wa asili unaosababisha sauti inapungua katika mwendo wa uenezaji. Yaani nishati ya mshtuko wa kwanza inaendelea pande zote na kugusa molekuli nyingi zaidi kadri jinsi inavyoenea mbali na chanzo. Kwa hiyo nishati inayopatikana kwa kila molekuli inapungua. Hapa tunasema ya kwamba sauti ya karibu ni kali lakini sauti ya mbali ni dhaifu.
 
==Midia na sauti==
Ilhali sauti ni mwendo wa wimbisauti katika midia fulani hakuna sauti pasipo na midia. Katika [[anga la nje]] tukifika kimo cha kilomita 100 juu ya uso wa ardhi hakuna sauti tena kwa sababu hakuna hewa au midia nyingine ya kupitisha mitetemo. Ila tu ndani cha [[chombo cha angani]] kuna midia tena kama hewa au ukuta metalia ya chombo chenyewe.
 
Uenezaji wa sauti katika midia mbalimbali ni tofauti kati ya midia na midia. Sauti inaenea pia katika maji au ndani ya metali kama bomba au pau za feleji za reli. InawezekanaUenezaji kusikiawa trenisauti inayokaribiakatika kwamidia kuwekambalimbali masikioni juutofauti ya pau za feleji kablakati ya kuisikiamidia kwana njia ya kawaida kupitia hewamidia. <ref>Sauti uwezekanoinaenea huuharaka unategemeakatika utekelezajimetali safina wamaji ujenzikuliko wa relihewa. Ni lazima ya kwamba pau za feleji zinagusana; kama kuna mapengo makubwa sauti haipiti - lakini safari kwa abiria si barabara sana</ref>
*Mtu aliye ufukoni wa bahari anayeweka kichwa chini ya maji atasikia mlio wa mlipuko unaotokea mbali kwenye meli mapema kuliko mwenzake asiye chini ya maji.
* Inawezekana kusikia treni inayokaribia kwa kuweka masikio juu ya pau za feleji kabla ya kuisikia kwa njia ya kawaida kupitia hewa. <ref> uwezekano huu unategemea utekelezaji safi wa ujenzi wa reli. Ni lazima ya kwamba pau za feleji zinagusana; kama kuna mapengo makubwa sauti haipiti </ref>
 
* ndani ya hewa yenye sentigredi 20 sauti inatembea mita 343 kwa sekunde, yaani kilomita 1 kwa sekunde 3, au takriban kilomita 20 kila dakika.
* ndani ya maji ya bahari sauti inatembea mita 1,500 kwa sekunde, hivyo takriban kilomita 90 kila dakika.
*ndani ya gimba la chuma sauti inatembea mita 5160 kwa sekunde, hivyo takriban kilomita 300 kila dakika (kama bomba au pau ndefu vile ya chuma ipo)
*ni rahisi kukadiria umbali wa [[radi]]. Tunajua ya kwamba sauti inatembea hewani umbali wa kilomita 1 katika muda wa takriban sekunde 3 (taz. juu). Kwa hiyo wakati wa kuona radi tunahesabu polepole 1-2-3-4 hadi kusikia sauti. Nambo tunayofikia tunagawa kwa 3 halafu tunajua radi hii ilikuwa na umbali wa kilomita ngapi.
 
==Sauti na marudio==
Aina za sauti hutofautishwa kutokana na kiwango cha [[marudio]] yake:
* marudio chini ya 16 [[Hz]] hazisikizwa na binadamu, marudio ni chini mno
* marudio baina ya 16 Hz hadi 20 [[kHz]] ni kiwango ambako sikio letu linapokea sauti
* marudio juu ya 20 kHz hazisikiki kwa binadamu kwa sababu marudio ni juu mno kwa sikio letu.
 
 
[[jamii:Fizikia]]
* ndani ya hewa ya