Kidudu-dubu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa mpya
 
d Robot: de:Bärtierchen is a featured article; cosmetic changes
Mstari 8:
| faila_ya_juu = [[Ecdysozoa]] (Wanyama wanaoambua kiunzi cha nje]]
| faila = [[Tardigrada]] (Wanyama wenye )
| subdivision = '''Ngeli, oda na familia'''<br />
* Ngeli [[Eutardigrada]]
** Oda [[Apochela]]
Mstari 19:
'''Vidudu-dubu''' ni [[kiumbehai|viumbehai]] vinavyofanana na [[dubu]] wadogo sana wenye jozi nne za miguu; wengi zaidi wana mm 0.3-0.5 wakiwa wazima, lakini kuna [[spishi]] kadhaa za hadi mm 1.2 na nyingine za mm 0.1 tu. Wanatokea katika maji au mahali pa majimaji. [[Mnyama|Wanyama]] hawa wanaweza kuendelea kuishi katika hali za kuzidi kiasi: kutoka [[halijoto]] ya karibu na [[sifuri halisi]] hadi juu ya [[kiwango cha kuchemka]], ukavu kabisa, [[kanieneo]] kubwa sana, [[ombwe]] kabisa na [[mnururisho]] kali [[uionishaji|unaoionisha]]. Wakikaa katika hali ya ukavu kabisa, hupoteza takriban maji yote mpaka kubaki na 3% tu na hata baada miaka kumi katika hali hii wanaweza kuamka na kuendelea kuishi.
 
== Picha ==
<gallery>
Picha:Mikrofoto.de-Baertier18.jpg|Kidudu-dubu upande wa kando
Mstari 27:
 
[[Jamii:Vidudu-dubu]]
 
{{Link FA|de}}