Kinubi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
d Robot: de:Elster is a featured article; cosmetic changes
Mstari 11:
| familia_ya_juu = [[Corvoidea]] (Ndege kama [[kunguru]])
| familia = [[Corvidae]] (Ndege walio na mnasaba na kunguru)
| jenasi = [[Cissa]] [[Heinrich Boie|Boie]], 1826

[[Crypsirina]] [[Louis Jean Pierre Vieillot|Vieillot]], 1816

[[Cyanopica]] [[Charles Lucien Bonaparte|Bonaparte]], 1850

[[Dendrocitta]] [[John Gould|Gould]], 1833

[[Pica]] [[Mathurin Jacques Brisson|Brisson]], 1760

[[Platysmurus]] [[Carl Reichenbach|Reichenbach]], 1850

[[Ptilostomus]] [[William Swainson|Swainson]], 1837

[[Temnurus]] [[René-Primevère Lesson|Lesson]], 1831

[[Urocissa]] [[Jean Cabanis|Cabanis]], 1850
| spishi = Angalia katiba
Mstari 24:
'''Vinubi''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wakubwa kiasi wa [[jenasi]] mbalimbali katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Corvidae]]. [[Kinubi mkia-kahawia]] huitwa kinubi kwa ufupi pia. Ndege hawa hawana wote mhenga mmoja. Mkia wao ni mrefu kuliko ule wa [[kunguru]]. Spishi nyingi ni nyeusi au nyeusi na nyeupe; nyingine zina rangi ya buluu, ya [[jani|majani]] au ya [[kahawa]]. Wanatokea [[Amerika ya Kaskazi]], [[Ulaya]], [[Afrika]] na [[Asia]]. Hula nusra kila kitu: [[mnyama|wanyama]] na ndege wadogo, [[mdudu|wadudu]], mizoga, [[tunda|matunda]], [[nafaka]] n.k. Hulijenga tago lao kwa vijiti mtini. Jike huyataga [[yai|mayai]] 5-10.

=== Spishi za Afrika ===
* ''Pica pica'', [[Kinubi Rangi-mbili]] ([[w:Common Magpie|Common Magpie]])
** ''Pica p. mauritanica'', [[Kinubi Rangi-mbili wa Afrika]] ( [[w:North African Magpie| North African Magpie]])
* ''Ptilostomus afer'', Kinubi au [[Kinubi Mkia-kahawia]] ([[w:Piapiac|Piapiac]])

=== Spishi za mabara mengine ===
* ''Cissa chinensis'' ([[w:Green Magpie|Green Magpie]])
* ''Cissa hypoleuca'' ([[w:Yellow-breasted Magpie|Yellow-breasted Magpie]])
Mstari 56:
* ''Urocissa whiteheadi'' ([[w:White-winged Magpie|White-winged Magpie]])

=== Spishi za kabla ya historia ===
* ''Pica mourerae'' (Mwisho wa Pliocene – mwanzo wa Pleistocene ya [[Mallorca]])

== Picha ==
<gallery>
File:Pica pica mauretanica1.jpg|Kinubi rangi-mbili wa Afrika
Mstari 83:

[[Jamii:Kunguru na jamaa]]

{{Link FA|de}}

[[en:Magpie]]
[[eo:Pigoj]]
[[fi:Harakkalinnut]]
[[fr:Pie (oiseau)]]
[[it:Gazza]]
Line 94 ⟶ 97:
[[ru:Обыкновенная сорока]]
[[sk:Straka čiernozobá]]
[[fi:Harakkalinnut]]
[[tr:Saksağan]]