Reli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
viungo
No edit summary
Mstari 7:
duniani.<ref>http://www.indianembassy.org/i_digest/2004/jan_31/indian_railways.htm</ref>]]
 
'''Reli''' (kutoka [[Kiing.]] ''rail / railroad'') ni mfumo wa usafiri wa abiria na mizigo kwa [[treni]] zinazotembea kwenye njiajuu ya vyuma au pau za [[feleji]]. Reli huwa ni sehemu muhimu za [[miundombinu]] wa nchi. Kwa maana asilia "reli" ni zile "reli za chuma" au [[reli za garimoshi]] ambazo kwa kawaida hutumiwa mbili-mbili kijozi kufanya [[njia ya trenireli]] yenyewe.
 
Kwa nchi nyingi reli ni mtindo muhimu wa usafiri kwa sababu inarahisisha mwendo wa watu na bidhaa. Ikitumiwa vema gharama zake ni afadhali kuhusu usafiri wa barabarani. Mahitaji ya nishati kwa kiwango cha mzigo ni kidogo kuliko barabarani.<ref>[http://www.aar.org/Index.asp?NCID=4223 Railroad Fuel Efficiency Sets New Record]- American Association of Railroads</ref>