Mmomonyoko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 59 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q80026 (translate me)
+hatari
Mstari 1:
[[Picha:Grand_Canyon_cloud.jpg|right|thumb|200px|Bonde la [[mto wa Colorado]]/[[Marekani]] (Grand Canyon) ni tokeo la mmomonyoko wa maji]]
'''Mmomonyoko''' ni hali ya kuvunjika au kumegekamegeka kwa [[udongo]] au [[Mwamba (jiolojia)|mwamba]] kutokana na athira ya [[upepo]], [[maji]], [[barafu]], [[joto]] au mwendo wa ardhi. Kazi za kibinadamu zimekuwa pia sababu muhimu ya mmonyoko.
 
Katika mazingira yanayokaliwa na binadamu na hasa kwa kilimo mmomonyoko una hatari.
 
== Mmomonyoko wa kiasili ==