Trekta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
 
No edit summary
Mstari 4:
Trekta (kutoka [[lat.]]/[[ing.]] ''tractor "mvutaji"'') ni gari maalumu linalotumiwa hasa katika [[kilimo]].<ref>{{cite book|page=747|publisher=Oxford University Press|title=Colour Oxford English Dictionary|date=2002|edition=Second|isbn=0198605692}}</ref>
 
Kwa kawaida huwa na kiti kimoja cha dereva pekee na kusudi lake si usafiri wa watu lakini kuvuta (au kuendesha) mitambo mbalimbali au mizigo iliyopo juu ya [[trela]] yenye mzigo.
 
Nje ya kilimo hutumiwa katika uchumi wa msituni, kwenye kazi za ujenzi na pia kwenye uwanja wa ndege.