Jutland : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 63 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q25389 (translate me)
nyongeza kidogo
 
Mstari 1:
[[Picha:jutland peninsula 2.png|thumb|250px|Rasi ya Jutland]]
'''Jutland''' ([[Kidenmark]]: ''Jylland''; [[Kijerumani]]: ''Jütland'') ni rasi katika [[Ulaya]] ya kaskazini. Sehemu ya kusini ni [[Ujerumani]] na sehemu kubwa ya kaskazini ni [[Denmark]].
 
Mara nyingi ni sehemu ya Denmark pekee inayohesabiwa kuwa Jutland. Kwa maana hiyo Jutland ni sawa na Denmark Bara maana sehemu nyinhine za nchi ni visiwa tu.
 
Rasi inatenganisha [[Bahari ya Kaskazini]] na [[Bahari ya Baltiki]].