Ndimu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q13195 (translate me)
+viungo
Mstari 1:
[[Picha:Backyard_limes.jpg|thumb|Ndimu]]
Ndimu, mbichi (sehemu zinazoliwa)
Virutubisho kwa gramu 100 (3.5 oz)
Mstari 10:
Protini 0.7 g
Maji 88 g
Vitamini C 29 mg (48%)]]
 
 
== Utangulizi ==
 
'''Ndimu''' ni neno ambalo linatumika kuelezea [[matunda]] ya aina mbalimbali, spishi na uzao mbalimbali; mimea ya jamii ya [[michungwa]] ambayo yote asili yake ni maeneo ya [[Himalaya]] huko [[India]]. Umbo lake ni mduara rangi yake ni kijani mpaka manjano, na kipenyo cha sm 3 mpaka 6 lenye ladha ya uchachuna aside ndani yake. Ndimu mara nyingi hutumika kuongeza ladha kwenye chakula na vinywaji. Kwa kawaida ni ndogo kuiko limao, na chanzo kizuri pia cha [[vitamin C]]. Ndimu hulimwa mwaka wote na huwa tamu kuliko [[limao]].
 
Ndimu ni matunda madogo, ambayo ngozi na nyama yake ni kati ya inchi moja au mbili hivi. Ndimu huweza kuwa chungu au tamu. Ndimu chungu huwa kiasi kikubwa cha sukari na asili ya asidi citric kuliko malimao na kuwa na ladha ya asili huku ndimu tamu hukosa asidi ndani yake hivyo kuwa na ladha tamu kweli kweli.
 
== Matumizi ==
=== Kupikia ===
[[Picha:Lime CDC.jpg|thumbnail|Tunda bivu lililokatwa]]
[http://en.wikipedia.org/wiki/File:Lime CDC.jpg]
Katika mapishi ndimu huthaminiwa kwa yote , ladha yake ya asideasidi na harufu yake ya kukoza ni viungo maalumu sana kwa vyakula vya [[Meksiko]], [[Vietnamu]], [[Thailandi]] na kusini mashariki mwa [[Marekani]]. Zaidi hata majani ya mmea wa ndimu hutumika kwenye mapishi hasa katika nchi za Asia. Majani ya mmea huu hutumika kama dawa pia katika maeneo mengi hasa kusini na mashariki mwa Asia .
 
=== Matumizi mengine ===
Katika kutibu ugonjwa wa ngozi, kiseyeye mnamo karne ya 19, serikali ya [[Uingereza]] ilihimiza watu wale sana ndimu, hii ni kutokana na kuwa chanzo kizuri cha vitamini C. Pamoja na mafuta maalumu, maji ya limao pia hutoa mchanganyiko unaotumika katika matengenezo ya marashi. Baadhi ya watu hunyunyiza maji ya ndimu kwenye macho yao, kupata uoni mzuri. Huko India hutumika kuwekwa kwenye imani yao kufukuza roho wabaya.
 
== Uzalishaji ==
India inaongoza kwa kuzalisha kwa wingi malimao na ndimu kwa wingi zaidi kwa asilimia 16, ikifuatwa na Meksiko (14. 55%), [[Ajentina]] (10%), [[Brazili]] (85%) na [[Hispania]] (7%)
 
[[Jamii:Matunda]]