Kihindi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+ hindustani
No edit summary
Mstari 1:
'''Kihindi''' ([[Devanagari]]: हिन्दी au हिंदी) ni lugha ya kitaifa nchini [[Uhindi]]. Kinaeleweka kati ya theluthi mbili ya Wahindi wote yaani takriban watu milioni 650. Wasemaji wa Kihindi kama lugha ya kwanza ni zaidi ya milioni 180.
 
Kinahesabiwa kuwa kati ya [[lugha za Kihindi-Kiajemi]] ndani ya [[lugha za Kihindi-Kiulaya]]. Lugha za karibu ni pamoja na [[Urdu]], [[Kipunjabi]], [[Kisindhi]], [[Kigujarati]], [[Kimarathi]] na [[Kibengali]].
 
Lugha imetoka katika [[Sanskrit]] ya kale iliyokuwa lugha ya chanzo cha utamaduni wa Uhindi.