Kimeng'enya : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Xqbot (majadiliano | michango) d Robot: ar:إنزيم is a featured article; cosmetic changes |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Triosephosphate isomerase.jpg|thumb|200px|Modeli ya kimeng'enya kinachoitwa TIM]]
'''Kimeng'enya''' ''([[ing.]] enzyme)'' ni [[molekuli]]
Mfano wake ni kimeng'enya cha amylasi kinachopatikana katika [[mate]] mdomoni.
Kuna pia vimeng'emya nje ya mmeng'enyo tumboni vina kazi kote mwilini ndani ya seli kwa mfano vinaendesha kunakiliwa kwa [[DNA]] wakati wa kuzaa.
Vimeng'enya vimepata kazi pia katika
Kwa mfano vimeng'enya vinatiwa katika sabuni ya kuosha nguo na kuharakisha kuondolewa kwa mafuta au damu.
Line 16 ⟶ 18:
[[Jamii:Biolojia]]
[[Jamii:Kemia]]
{{Link FA|ar}}
|