Namba atomia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
Atomi zenye namba atomia ileile ni za [[elementi]] moja zikionyesha tabia zilezile za kikemia isipokuwa mara chache isotopi zinaweza kuwa na tofauti ndogo. Atomi zenye namba atomia ileile lakini zinazotofautiana katika masi kwa sababu ya tofauti katika idadi ya [[neutroni]] huitwa [[isotopi]] ya elementi moja.
 
Katika [[mfumo radidia]] elementi hupangwa kufuatana na namba atomia. Idadi ya protoni katika kiini haibadiliki.
 
==Marejeo==