Kombe la Dunia la FIFA : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Updated with information about recent tournaments.
Mstari 5:
Hadi sasa ni nchi saba tu ambazo zimeweza kuchukua kombe hili toka lilipoanza kushindaniwa hapo mwaka 1930. Mashindano haya hufanyika kila baada ya miaka minne. Mwaka 1942 na 1946 hakukuwa na Kombe la Dunia kutokana na [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]]. [[Brazili]] ndio nchi pekee ambayo imeweza kutwaa kombe hili mara tano mfululizo. [[Ujerumani]] na [[Italia]] zimelitwaa mara tatu. Nchi nyingine ambazo zimewahi kulitwaa ni [[Uruguay]], [[Ufaransa]], [[Argentina]], na [[Uingereza]].
 
Ujerumani ndio nchi iliyoandaa Kombe la Dunia 2006 kati ya 9 Juni hadi 9 Julai. Bingwa wa sasa wa kombe hilo, Brazili, imetolewa kwenye mashindano hayo kwa kufungwa 1-0 na Ufaransa. Kombe la Dunia 2010 litafanyikalilifanyika katika bara la [[Afrika]] kwa mara ya kwanza katika nchi ya [[Afrika Kusini]]. Kombe la Dunia 2014 lilifanyika Brazili.
 
== Viungo vya Nje ==