Papa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 5:
 
== Asili==
Kiasili neno la [[Kilatini]] "Papa" lamaanisha "Baba", nalo likawa cheo kwa nia ya kumtaja askofu wa Roma kwa heshima ya pekee. Msingi wa heshima hii ni [[imani]] ya kuwa askofu wa Roma ni [[mwandamizi]] wa [[MtakatifuMtume Petro|Petro]], mtumemkuu wa [[mitume wa Yesu]]. Wakatoliki huamini ya kwamba Petro alipewa na [[Yesu]] kazi ya kuongoza kanisa kwa niaba yake na ya kwamba jukumu hilo linaendelea kati ya waandamizi wa Petro kwenye [[kiti]] cha askofu wa Roma ambacho kwa heshima kinaitwa [[Ukulu mtakatifu]].
 
==Historia==