Salawe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+ matini kutoka Salawe,_shinyanga
d fixing dead links
Mstari 18:
 
}}
'''Salawe''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Shinyanga vijijini]] katika [[Mkoa wa Shinyanga]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa [[2002]], kata ina wakazi wapatao 24,951 waishio humo. <ref>{{cite web|url=http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/shinyangaurban.htm|title=Ripoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002|publisher=Serikali ya [[Tanzania]]|language=en|accessdate=|archiveurl=http://web.archive.org/web/20040320145229/http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/shinyangaurban.htm|archivedate=2004-03-20}}</ref>
 
Shughuli kuu wanzofanya katika kata hii ni kilimo , na zao kuu ambayo wanayategemea ni mpunga na mahindi. Kata ya Salawe inapakana na [[Mkoa wa Mwanza]].