Fasihi simulizi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+mmmh
+kutia nyama kidogo
Mstari 4:
 
Hata jamii ijuayo kusoma na kuandika inaendelea kuwa na fasihi simulizi, hasa nyumbani, k.m. katika kuwasimulia watoto hadithi. Hata hivyo, mara nyingi fasihi simulizi ya jamii ijuayo kusoma na kuandika ni tofauti sana na fasihi simulizi ya jamii isiyo na uandishi, kwa vile imeathiriwa na ujuzi wa kusoma na kuandika, na [[mtindo|mitindo]] ya masimulizi yake haiendi sambamba na mitindo ya masimulizi yasiyoathiriwa na uandishi.
==Maana ya fasihi==
Fasihi ni utanzu (tawi) wa sanaa ambao hutumia lugha ya mazungumzo au maandishi ili kufikisha (kuwasilisha) ujumbe kwa hadhira husika. Kazi yoyote ya fasihi lazima pawepo ba ustadi wenye kuleta mvuto fulani kwa hadhira (wasikilizaji au wasomaji) husika. Ustai (ufundi)huo unaovutia hadhira huitwa FANI, ambayo hujumuisha mambo kama vile:
*Muundo
*Mtindo
*Wahusika
*Matumizi ya lugha na,
*Mandhari
 
**Muundo - mtitiriko/msuko/mpangilio wa matukio / visa
**Mtindo - ni mbinu inayotumiwa na fanani ili atofautiane na fanani mwingine
**Wahusika - ni watu au vitu ambavyo hutumiwa na fanani katika kazi yake
**Mandhari - ni eneo ambalo fanani hulitumia katika kuumba kazi yake
**Matumizi ya lugha - lugha anayotumia fanani katika kazi yake
 
Vilevile kazi yoyote ya fasihi huwa na ujumbe na malengo mbalimbali ambayo hukusudiwa yaifikie jamii husika. Yale yote ambayo msanii wa kazi ya fasihi anakusudia yaifikie jamii husika huitwa MAUDHUI. Maudhui ya kazi ya fasihi hujumuisha:
 
*Dhamira
*Ujumbe
*Migogoro
*Falsafa/misimamo na
*Mtazamo
==Michanganuo==
 
{| class="wikitable float-right"