Alfabeti ya Kigiriki : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Kanjy (majadiliano | michango) d Masahihisho aliyefanya 209.126.98.145 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na 31.61.136.93 |
viungo namba |
||
Mstari 11:
Katika historia ndefu ya alfabeti hii matamshi ya alama yamebadilika pamoja na mabadiliko ya lugha yenyewe. Mwanafunzi wa Kigiriki cha Kale anayesoma maandiko ya [[Plato]] au vitabu vya [[Agano Jipya]] katika lugha asilia ataona matataizo akija Ugiriki na kuwasikia Wagiriki wa leo hata kama anaweza kusoma maandishi yote hataelewa mengi.
==
Kila herufi ilikuwa pia na matumizi kama [[tarakimu]] ya [[namba]] kwa sababu Wagiriki wa Kale hawakuwa na alama za pekee za namba. Herufi tatu za kihistoria ambazo hazikutumiwa tena kwa maandishi
Kwa kutofautisha herufi na namba alama yake ilipewa mstari mdogo juu yake kama αʹ = 1, βʹ = 2, γʹ = 3. Kwa namba kuanzia 1,000 mstari upande wa kushoto uliongezwa, kwa mfano ͵α = 1,000, ͵β = 2000, ͵βηʹ = 2008.
|