Sanaa ya Kikristo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|250px|Bikira Maria na Mtoto Yesu walivyochorwa katika [[mahandaki ya Roma, karne ya 4.]] {{Ukristo}} '''Sanaa ya Kikristo...'
 
No edit summary
Mstari 8:
 
[[Picha]] za [[Yesu]] ndiyo michoro ya kawaida zaidi, zikifuatwa na zile za [[Bikira Maria]] katika [[Kanisa Katoliki]] na yale ya [[Waorthodoksi]] na [[Waorthodoksi wa Mashariki]].
 
Wakatoliki katika [[Mtaguso II wa Vatikano]] walikiri kwamba [[muziki mtakatifu]] ndio sanaa bora kwa sababu ya kuhusiana zaidi na [[Neno la Mungu]] ambalo unalipamba kwa [[noti]] ili lieleweke na kugusa mioyo zaidi.
 
==Tanbihi==