Mashindano ya baiskeli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Mashindano ya baiskeli''' ni mchezo maarufu katika nchi nyingi duniani unaofanyika kwa namna mbalimbali: kwa siku moja tu au kwa siku kadhaa mfululizo, k...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 06:30, 25 Oktoba 2014

Mashindano ya baiskeli ni mchezo maarufu katika nchi nyingi duniani unaofanyika kwa namna mbalimbali: kwa siku moja tu au kwa siku kadhaa mfululizo, kwa mtu mmojammoja au kwa vikundi, katika barabara za kawaida, katika njia za mashambani au katika uwanja maalumu, n.k.

Kwa vyovyote mshindi ni yule aliyendesha baiskeli yake kwa kasi zaidi hadi lengo lililopangwa.