Okapi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ramani imehamishwa
d Sahihisho la tahajia.
Mstari 18:
| maelezo_ya_ramani = Usambazaji wa okapi
}}
 
Kutoka Wikipedia, ensaiklopidia huru
 
'''Okapi''' (''Okapia johnstoni'') ni mamalia wa familia ya [[twiga]]. Umbo lake hufanana na [[farasi]] ina michoro miguuni kama [[punda milia]] lakini haina uhusiano naye ni aina ya twiga.
 
Okapi ni mnyama aliyejulikana na wenyeji wa maeneo yao tu hadi mwaka 1901. Hapo zamani ilikuwa inaaminika kuwa mnyama huyu hupatikana tu katika misitu ya [[Ituri]] lakini mwaka 2006 zilipatikana dalili zilizoonyesha kwamba mnyama huyu yuko pia kwenye misitu ya hifadhi ya kitaifa ya Kongo ya [[Virunga]]. Kwenye misitu ya Ituri kuna hifadhi ya okapi yenye eneo la 14,000 km².
 
Shingo yake ni fupi kuliko twiga lakini ina ulimi mrefu sana wa kujipatia majani unaomwezesha kusafisha masikio yake yeye mwenyewe. DumaDume ina pembe mbili fupi kichwani.
 
Ukubwa wa okapi ni hadi mita 2.5 m kichwani na hadi 2mita m2 mabegani. Anafikia uzito kati ya kg 200 hadi 250. Anakula majani ya miti pamoja na manyasi, matunda na uyoganyoga.