Content deleted Content added
Jibu
No edit summary
Mstari 10:
 
:Ndiyo, niliona jibu lako - asante! Nimeendelea kupitia kurasa za wanyama ulizoanzisha, na sasa ninaelewa vizuri zaidi muundo unaotumia. '''[[Mtumiaji:Rberetta|Rberetta]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Rberetta#top|majadiliano]])''' 22:08, 27 Oktoba 2014 (UTC)
 
::We Babu salaam na karibu katika Wikipedia ya Kiswahili. Awali nilidhani wale watu wa buu-baa, kumbe ni mtalaamu na mwandishi mzuri wa Kiswahili. Ninakukaribisha kwa mikono miwili ili tuendeleze gurudumu hili la Kiswahili. Salaam nyingi kutoka mjini Dar es Salaam, Tanzania. Niite Muddyb au,--[[User:Muddyb Blast Producer|<font color="blue"><sub>'''Mwanaharakati'''</sub></font>]]</span><font face="Verdana">[[User talk:Muddyb Blast Producer|<font color="gray"><sup>'''Longa'''</sup></font>]] 03:33, 30 Oktoba 2014 (UTC)