ESA : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
img
Mstari 1:
[[Picha:Ariane 1 Le Bourget FRA 001.jpg|300px|thumbnail|Mfano wa roketi ya Ariane 1 inayotumiwa na ESA]]
[[Picha:EsocViews kontrollraumin the Main Control Room (12052189474).jpg|300px|thumbnail|Kituo cha kusimamia operesheni kwenye anga la nje huko Darmstadt]]
'''ESA''' ni kifupi cha Kiingereza cha "'''European Space Agency'''" (Mamlaka ya Ulaya ya Usafiri wa Anga). Taasisi hii ilianzishwa 1975 na nchi 10 za [[Umoja wa Ulaya]]. Wajibu wake ni kuratibu miradi ya nchi za Ulaya ya kuendesha utafiti na uchunguzi wa anga. Shabaha ni hasa kuendeleza juhudi za nchi za Ulaya katika teknolojia ya angani iliyokuwa nyuma sana kulingana na kazi za [[NASA|Marekani]] na [[Urusi]] wakati ule. Mwaka 2014 kulikuwa na nchi wanachama 20, na kati ya hao ni nchi 18 wanachama wa Umoja wa Ulaya pamoja na [[Uswisi]] na [[Norwei]]. Kufuatana na katiba ya ESA inalenga shabaha siziso za kijeshi pekee.
 
Mstari 18:
 
ESA ina pia ofisi za mawasiliano katika Marekani, Urusi, Uingereza, Ufaransa na Ubelgiji. MWaka 2013 kulikuwa na wafanyakazi wa ESA 2250.
 
{{Commoncat|European Space Agency}}
 
[[Jamii:Umoja wa Ulaya]]