Tabianchi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
jamii
masahihisho ya lugha
Mstari 41:
 
===B: Tabianchi yabisi au nusuyabisi===
TabiaHapa ya kimsingi ya maeneo hayahewa ni kuwa [[uvukizaji]] ni mkubwa kuliko [[usimbishaji]], maanakavu. kunaKuna kiasi cha mvua lakini kutokana na joto na jua maji mengi zaidi hupotea kuliko mvua unaonyesha. Kwa lugha nyingine [[uvukizaji]] ni mkubwa kuliko [[usimbishaji]], kwa hiyo hewa ni kavu.
 
Kama uvukizaji ni kubwa kuliko usimbishaji kwa muda wa miezi 10-12 kila mwaka tabianchi huitwa yabisi. Hapa kiwango cha mvua hakipitii milimita 80 kwa mwaka.
Mstari 47:
Kama uvukizaji ni kubwa kuliko usimbishaji kwa muda wa miezi 6 - 9 kila mwaka tabianchi huitwa nusuyabisi.
 
Tabia ya kawaida kwa eneo yabisi ni kupotea kwa mito ambayo haishii baharini au katika maziwa makubwa bali hupotea tu njiani au kuishia katika maziwa ya chumvi au jangwa la chumvi. Maziwa ya chumvi hupatikana pale ambako maji hayapotei kabisa lakini hupungukiwa mno na mishale ya jua hivyo kiasi kinachobaki kama ziwa au matope huwa na chumvi nyingi. Au hata ziwa la chumvuchumvi hukaukalinakauka kwa miezi mingikadhaa ya mwaka na kuacha uwanja mkubwa wa chumvi tu.
Maeneo penye tabianchi yabisi yapo hasa katika sehemu za [[nusutropiki]] zisizofikiwa na upepo wa pasati lakini kuna tabianchi yabisi pia penginepo kwa mfano kwenye milima ya juu au karibu na ncha za dunia.
Mstari 77:
 
===E: Tabianchi ya nchani===
Hizi tabianchi karibu na [[ncha za dunia]] huwa na halijoto wastani chini ya 10 °C mwaka wote.
 
* '''Tabianchi za [[tundra]]''' zinatokea katika kaskazini kabisa za mabara ya Amerika, Asia na Ulaya na kwenye visiwa karibu na [[Antaktiki]]. Mwezi wa joto zaidi huwa na halijoto ya wastani baina 0 °C na 10 °C. Sehemu kubwa ya mwaka ina halijoto wastani chini ya 0 °C.