Tabianchi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
masahihisho ya lugha
kuondoa kosa
Mstari 1:
[[Image:ClimateMap World.png|thumb|350px|Ramani ya dunia inayoonyesha kanda za tabianchi kuanzia ikweta: tropiki, yabisi, wastani, kibara na baridi.</center>]]
'''Tabianchi''' inamaanisha jumla ya [[halijoto]], [[unyevuanga]], [[kanieneo ya angahewa]], [[upepo]], [[usimbishaji]] na tabia nyingine zinazoathiri [[hali ya hewa]] katika sehemu fulani ya uso wa f#dunia kwa muda mrefu. Tabianchi ni tofauti na halihewa ikitazama vipindi virefu lakini halihewa inatazama hali ya sasa au katika muda mfupi. Kwa lugha nyingine tunaweza kusema: Tabianchi ni jumla ya halihewa zote zinazoweza kutokea mahali pamoja duniani katika kipindi kisichopungua miaka 30.
Tabianchi inaathiriwa sana na latitudo yaani umbali na ikweta penye mnururisho mwingi wa jua, uso wa nchi, kimo, kuwa karibu au mbali na magimba ya maji na [[mikondo ya bahari]].
 
==Ufafanuzi wa tabianchi===
Tabianchi huangaliwa hasa katika sayansi za [[metorolojia]] na [[jiografia]] lakini kuna pia tawi la [[fizikia]] linaloichungulia. Kutokana na mitazamo tofauti ya sayansi hizi kuna pia ufafanuzi tofauti kuhusu tabianchi.