Kibali (Indonesia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kibali''' ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabali kwenye visiwa vya Bali na Nusa Penida. Pia W...'
 
d +mabano using AWB
Mstari 1:
'''Kibali''' ni [[Lugha za Kiaustronesia|lugha ya Kiaustronesia]] nchini [[Indonesia]] inayozungumzwa na [[Wabali]] kwenye visiwa vya [[Bali]] na [[Nusa Penida]]. Pia Wabali wamehamia visiwa vya [[Sulawesi]] na vya [[Lombok]]. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibali imehesabiwa kuwa watu 3,330,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibali iko katika kundi la Kibali-Sasak-Sumbawa. Isichanganywe na lugha nyingine ziitwazo Kibali nchini za [[Kibali (Kongo)|Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] na [[Kibali (Nigeria)|Nigeria]].
 
==Viungo vya nje==