Kijava : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kijava''' ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wajava kwenye kisiwa cha Java ambapo ni lugha rasmi...'
 
d +mabano using AWB
Mstari 1:
'''Kijava''' ni [[Lugha za Kiaustronesia|lugha ya Kiaustronesia]] nchini [[Indonesia]] inayozungumzwa na [[Wajava]] kwenye kisiwa cha [[Java]] ambapo ni lugha rasmi ya jimbo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kijava imehesabiwa kuwa watu milioni 84.3. Pia kuna wasemaji 300,000 nchini [[Malaysia]] (1981). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijava iko katika kundi lake lenyewe la Kijava.
 
==Viungo vya nje==