Unju bin Unuq : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{umbo}}
'''Unju bin Unuq''' (pia: '''Unju bin Unuku''', '''Unzi Bin Ununuk''') ni jina la [[jitu]] katika masimulizi ya wakazi wa pwani la [[Tanzania]]. Hadithi zake zasimuliwa kuanzia [[Bagamoyo]] hadi [[Kilwa]]. Historia yake inapatikana katika makumbusho ya [[Kaole]] huko [[Bagamoyo]] Tanzania.
huyu ni mtu anayesemekana ameishi hapo kale.
 
historia yake inapatikana katika makumbusho ya kaole huko bagamoyo tanzania.
mojaMoja ya mabomambo ya ajabu ya mtu huyu ni urefu wake yaani kimo, inasadikiwa alikuwa na urefu mkubwa ulioweza kumfanya atembee baharini na miguu yake kugusa chini.
 
piaPia alikuwa akitembea kutoka nchi hadi nchi kutokana na urefu wake. Inasimuliwa kuwa moja kati ya nyayo zake zinapatikanainapatikana kwenye jiwe alilokanyaga huko tabora Tabora,tanzania Tanzania, nyayo ya mguu wa kushoto wakati unyayo wa mguu wa kulia ulionekana kwenye jiwe alilokanyaga huko congoKongo.
wanahistoria wanadai alipokufa unju bin unuq,aligawanyika vipande vipande kutokana na urefu wake na inasemekana kidole chake chenye urefu wa kilometa moja kasoro ndicho kilichopatikana na kuzikwa pale bagamoyo,haijaeleweka wakati anakufa mwili wake uliobaki uliangukia wapi.
 
Aliishi Afrika kipindi akitaka kula alikua akichukua Samaki baharini kwa mkono na kuchoma katika jua kisha anakula inasadikika kuwa unju bin inuk inavyosemekana hakuoa wala kuolewa kutokana na umbo lake hatahivyo alikuwa na ndugu aliyeitwa fellu bin unuky bado haijafahamika walikuwa na uhusiano gani mpaka sasa fellu bin unuk anasadikika kuishi katika mkoa wa dodoma na kulikuwa kuna ndugu mwingine aitwae godwin bin unuky ambaye inasemekana anaishi na nduguye ferru bin unuky mkoani dodoma.
wanahistoriaSehemu wanadainyingine ya hadithi yake ni alipokufa unjuUnju bin unuqUnuq, aligawanyika vipande vipande kutokana na urefu wake na inasemekana kidole chake chenye urefu wa kilometa moja kasoro ndicho kilichopatikana na kuzikwa pale bagamoyo,haijaeleweka wakatilakini hakuna anakufasimulizi mwili wake uliobaki uliangukia wapi.
 
Inasimuliwa pia akitaka kula alikuwa akichukua samaki baharini kwa mkono na kuchoma katika jua kisha anakula. Kuhusu maisha yake kuwa Unju bin Unuk inavyosemekana hakuoa wala kuolewa kutokana na umbo lake.
 
==Marejeo==
* Tazama majadiliano hapa http://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/345594-ni-nani-huyu-enji-bin-unuuti-tusaidieni.html
 
{{mbegu-mtu}}
 
[[Jamii:HistoriaWahusika yawa Tanzaniafasihi]]