Kitonga (Tonga) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kitonga''' ni lugha ya Kiaustronesia nchini Tonga inayozungumzwa na Watonga ambapo ni lugha rasmi ya taifa. Mwaka wa 1998...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Kitonga''' ni [[Lugha za Kiaustronesia|lugha ya Kiaustronesia]] nchini [[Tonga]] inayozungumzwa na [[Watonga]] ambapo ni lugha rasmi ya taifa. Isichangaywe na lugha nyingine ziitwazo [[Kitonga]] nchini [[Malawi]], [[Zambia]], [[Msumbiji]] na [[Uthai]]. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kitonga nchini Tonga imehesabiwa kuwa watu 96,300; tena kuna wasemaji zaidi ya 70,000 nje ya Tonga. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitonga iko katika kundi la Kioseaniki.
 
==Viungo vya nje==