Tonga ni nchi ya visiwani ya Polynesia katika Pasifiki ya kusini yenye wakazi 102,321.

Pule'anga Tonga
Kingdom of Tonga (Ufalme wa Tonga)
Bendera ya Tonga Nembo ya Tonga
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: Ko e 'Otua mo Tonga ko hoku tofi'a
("Mungu na Tonga ni urithi wangu")
Wimbo wa taifa: Ko e fasi 'o e tu'i 'o e 'Otu Tonga
Lokeshen ya Tonga
Mji mkuu Nuku'alofa
21°08′ S 175°12′ W
Mji mkubwa nchini Nuku'alofa
Lugha rasmi Kitonga, Kiingereza
Serikali Ufalme
Tupou VI
Siaosi Sovaleni
Ufalme
Uhuru
4 Juni 1970,
kutoka nchi lindwa chini ya Uingereza
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
748 km² (ya 175)
4
Idadi ya watu
 - [[]] kadirio
 - 2021 sensa
 - Msongamano wa watu
 
(ya 199)
100,209
139/km² (ya 761)
Fedha Pa'anga (TOP)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC+13)
(UTC+13)
Intaneti TLD .to
Kodi ya simu +676

-

1 Takwimu za 2005.


Eneo lake ni funguvisiwa lenye visiwa 169 kusini kwa Fiji na Samoa na kaskazini kwa New Zealand. Visiwa 52 tu vina wakazi (100,000 hivi).

Jiografia

hariri

Eneo lote la nchi kavu ya visiwa ni km² 750.

Kisiwa kikubwa ni Tongatapu chenye eneo la km² 260.

Mahali pa juu katika Tonga ni volkeno ya mlima wa Kao (ambacho ni kisiwa cha Kao chenyewe) wenye kimo cha mita 1,030.

Lugha na dini

hariri

Kuna lugha tatu tu ambazo huzungumzwa nchini Tonga: Kiingereza (lugha rasmi), Kitonga (lugha rasmi) na Kiniuafo’ou ambayo inazidi kufifia.

Upande wa dini, 96.9% wanajitambulisha kama Wakristo, hasa Wamethodisti (53.7%) na Wakatoliki (14.2%), mbali ya Wamormoni (18.6%).

Tazama pia

hariri


  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.