Mzunguko wa Bahari Nyekundu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Periplus ni Kilatini Wingi wake ni Peripli, Periplous ni Kinngereza na wingi wake ni peribli, kwa hiyo ili kutohoa jina hili na kulifanya liendane na sarufi ya Kiswahili tumeandika Peripulu.
d Masahihisho aliyefanya 207.244.77.173 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Legobot
Mstari 1:
[[Image:Map_of_the_Periplus_of_the_Erythraean_Sea.jpg|thumb|350px|Majina, mahali na njia za biashara katika Periplus]]
'''PeripuluPeriplus ya [[Bahari Nyekundu|Bahari ya Eritrea]]''' ni kitabu cha mwongozo kwa ajili ya mabaharia kilichoandikwa mn. mw. 70 b.K.. "Periplus" ni neno la [[Kigiriki]] linalomaanisha tendo la kuzunguka baharini kwa [[merikebu]]; Bahari Nyekunduya Eritrea ni jina la kale kwa ajili ya [[Bahari ya Shamu]] pamoja na [[Bahari Hindi]]. Jina limeundwa na watu wa nchi za mashariki ya Bahari ya [[Mediterani|Mediteraneo]] na [[Misri]] waliotumia lugha ya Kigiriki wakati wa miaka 2000 iliyopita.
 
Kitabu hiki kimeandikwa na mwenyeji wa [[Aleksandria]] / Misri iliyokuwa mji mkubwa wakati ule na kitovu cha biashara ya kimataifa kati ya [[Dola ya Warumi|Dola la Roma]], [[Afrika ya Mashariki]] na Bara Hindi.
 
Kitabu cha PeripuluPeriplus kinaeleza bandarimabandari kuanzia [[Misri]] hadi [[Afrika ya Mashariki]] kwa upande moja na hadi [[Bara Hindi]] kwa upande mwingine. Kinataja majina ya bandarimabandari, bidhaa zilizopelekwa huko na bidhaa zilizopatikana kila mahali. Pia kuna habari za kando juu ya watu, watawala ni mila zao.
 
Maelezo ni mengi kuhusu pwani la [[Eritrea]] na [[Somalia]] hadi [[Pembe la Afrika]]; kuelekea kusini majina ya bandarimabandari ni machache; mwisho wa eneo lililojulikana ni mji wa [[Rhapta]] katika nchi za [[Azania]].