Tofauti kati ya marekesbisho "Adhabu ya kifo"

117 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
d (fixing dead links)
 
== Sababu za kumhukumia mtu afe ==
[[File:Beccaria - Dei delitti e delle pene - 6043967 A.jpg|thumb|[[Cesare Beccaria]], ''Dei delitti e delle pene'']]
Zamani ilikuwa adhabu ya kawaida katika nchi nyingi kwa mauaji hasa, lakini pia kwa makosa kama unajisi, biashara ya madawa ya kulevya, ufisadi. Kihistoria hata aina za upinzani dhidi ya mtawala wa nchi ziliadhibiwa kwa adhabu ya mauti mara nyingi iliitwa kusaliti taifa au kuhatarisha usalama wa nchi. Kuna pia nchi ambako kuondoka katika dini rasmi iliadhibiwa hivyo.