Harun ar-Rashid : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:(ar-Rashid) dirham 170h.jpg|thumbnail|[[Sarafu]] ya [[Dirham]] yenye [[jina]] la Harun ar-Rashid.]]
[[Picha:Harun Al-Rashid and the World of the Thousand and One Nights.jpg|thumbnail|[[Picha]] ya Harun ar-Rashid katika [[kitabu]] cha [[Alfu Lela U Lela]] (si [[sura]] halisi maana ilichorwa [[karne]] kadhaa baadaye).]]
'''Harun ar-Rashid''' (kwa [[
==Maisha==
Alizaliwa
Kipindi chake cha [[utawala]] kilikuwa na [[maendeleo]] makubwa ya [[elimu]] na [[utamaduni]]. [[Sanaa ya Kiislamu]] (ikiwa pamoja na [[muziki]]) ilistawi.
Kipindi chake cha utawala kilikuwa na maendeleo makubwa ya kielimu na kiutamaduni. Sanaa ya Kiislamu pamoja na muziki ilistawi. Alianzisha Dar-al-Hikma (nyumba ya hekima) mjini [[Baghdad]] iliyokuwa kama chuo kikuu ambako vitabu vingi vilitafsiriwa kwa lugha ya Kiarabu kutoka [[Kigiriki]], [[Kichina]], [[Kisanskrit]], [[Kiajemi]] na [[Kiaramu]] (Syriac). Kwa njia hii Baghdad ilikuwa kitovu cha elimu cha kimtaifa wakati huu.▼
▲
Harun alituma balozi kwenda hadi [[China]] na pia kwa Kaisari [[Karolo Mkuu]] wa [[Dola Takatifu la Kiroma]]. ▼
▲Harun alituma [[balozi]] kwenda hadi [[China]] na pia kwa [[Kaisari]] [[Karolo Mkuu]] wa [[Dola Takatifu la Kiroma]].
Mwaka 796 Harun ar-Rashid alihamisha mji mkuu wake kutoka Baghdad kwenda [[Raqqa]] katika Syria.▼
▲Mwaka [[796]] Harun ar-Rashid alihamisha [[mji mkuu]] wake kutoka Baghdad kwenda [[Raqqa]] katika [[Syria]].
Alikumbukwa kama mtu wa hekima kubwa akionekana hivyo katika hadithi za [[Alfu Lela U Lela]].▼
▲
==Vitabu juu ya Harun ar-Rashid==
*[[al-Masudi]], [[The Meadows of Gold]], The Abbasids, transl. Paul Lunde and Caroline Stone, Kegan paul, London and New York, 1989
*[[Muhammad ibn Jarir al-Tabari|al-Tabari]] "The History of al-Tabari" volume XXX "The 'Abbasid Caliphate in Equilibrium" transl. C.E. Bosworth, SUNY, Albany, 1989.
Line 25 ⟶ 27:
*{{cite book|last=Norwich| first=John J. | title=Byzantium: The Apogee | publisher=Alfred A. Knopf, Inc. | year=1991 | isbn=0-394-53779-3 }}
* {{cite book | last=Zabeth | first=Hyder Reza | title=Landmarks of Mashhad | publisher=Alhoda UK | year=1999 | isbn=964-444-221-0}}
[[Jamii:Mahalifa]]
[[Jamii:Watu wa Iran]]
[[Jamii:Historia ya Uislamu]]
[[Jamii:Historia ya Iran]]
|