Ustaarabu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Ustaarabu''' ni aina ya [[utamaduni]] uliyoendelea.
[[Picha:Egypt.Giza.Sphinx.02.jpg|300px|thumbnail|Ustaarabu wa [[Misri ya Kale]] ulibuni majengo ya [[piramidi]] miaka 5000 iliyopita]]
 
Katika fani ya historia "ustaarabu" ([[ing.]] ''civilisation'') ni hali ya jamii iliyoendelea juu ya kuishi katika jumuiya ndogo zinazojitegema katika mahitaji yote. Kwenye hali ya ustaarabu watu wanashirikiana katika eneo kubwa zaidi, huwa na namna ya [[serikali]]. Shughuli zinagawanywa kati ya vikundi, tabaka na kazi mbalimbali chini ya kanuni na [[sheria]] zinazosimamiwa na mtawala au [[serikali]].