Sopa : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
dNo edit summary |
dNo edit summary |
||
Mstari 2:
pembezoni mwa kijiji,iliyokuwa ikitokea lusaka,kupita tatanda na kukatisha sopa kuelekea kasanga [tanganyika]
njia hiyo iliweza kutumiwa na wakazi tofauti ,awali ya yote kijiji kiliitwa SOTE,baada ya kuzoeleka na wakazi au wajeruman ndipo kijiji kuitwa sopa .Wajerumani walizoea kuitumia njia na kuweza kuipamba kwa jina la sopa ,wajerumani waliitumia njia hiyo katika karne ya 18,baada ya hapo ndio kijiji hicho kuitwa sopa,Kijiji cha sopa kinapatikana Tanzania mkoa wa Rukwa wilaya ya sumbawanga.
|