Kasi ya nuru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 90 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q2111 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
'''Kasi ya nuru''' imekubaliwa kuwa [[nuru]] inatembea mita 299,792,458 kwa [[sekunde]] moja katika uvunguombwe. Kama nuru inapita katika [[hewa]] kasi yake inapungua.
 
Katika [[nadharia ya uhusianifu]] ya [[Einstein]] kasi ya nuru inadhaniwa kuwa ni ileile wakati wowote pia katika hali yoyote. Yaani kasi inabaki ileile hata kama nuru inatoka katika chombo chenye kasi yenyewe au kama mtazamaji ana mwendo wake mwenyewe. Katika nadharia hii hakuna mwendo mwenye kasi kushinda nuru. Kasi ya nuru imekuwa kipimo cha kimsingi katika [[sayansi]] za [[fizikia]] na [[unajimu]].