Fizikia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 21:
== Utafiti ==
==Historia==
[[Unajimu]] inatajwa kama sayansi ya kale zaidi ambapo jamii zilizokuwa zimestaarabika zamani kama wasumeriani, wamisri wa kale na jamii kuzunguka uwanda wa indus,takriban miaka 3000(K.K) zilikua na uelewa juu ya elimu ya kiutabiri ya mienendo ya jua, mwezi na nyota,nyota na mwezi mara nyingi zilichukuliwa kama alama za kiibada,zikiaminika kuwakilisha miungu yao.
'''Unajimu wa kale'''.
 
Unajimu inatajwa kama sayansi ya kale zaidi ambapo jamii zilizokuwa zimestaarabika zamani kama wasumeriani, wamisri wa kale na jamii kuzunguka uwanda wa indus,takriban miaka 3000(K.K) zilikua na uelewa juu ya elimu ya kiutabiri ya mienendo ya jua, mwezi na nyota,nyota na mwezi mara nyingi zilichukuliwa kama alama za kiibada,zikiaminika kuwakilisha miungu yao.
Ingawa maelezo ya matukio hayo mara nyingi hayakua ya kisayansi na yenye upungufu wa vithibitisho hayo maono ya enzi hizo yalikua ni msingi wa uendelezaji wa elimu ya unajimu baadae.
Kwa mujibu wa Asger Aaboe chanzo cha unajimu wa kimagharibi inaweza kupatikana mesopotamia , na juhudi kubwa ya wamagharibi kuelekea sayansi halisia inarithiwa kutaka unajimu wa kale wa kibabiloni.