Mnururisho : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Mnururisho''' ([[ing.]] ''radiation'') ni uenezaji wa [[nishati]] kwa njia ya vyembe vidogo sana au kwa njia ya mawimbi. Mnururisho huwa na chanzo, mwelekeo usionyoka na kasi.
[[File:Nuru katika spektra 1.jpg|thumb|400px|Nuru inayoonekana kwa macho ni sehemu tu ya mnururisho wa sumakuumeme. Mawimbi ya nuru ni sehemu ya mawimbi mengine ya sumakuumeme]]
 
Mifano ya mnururisho inayoonekana au kusikika kirahisi ni [[nuru]] na [[joto]]. Binadamu ana [[milango ya fahamu]] kwa ajili mnurirsho huo kama vile [[macho]] kwa nuru na [[neva]] kenye [[ngozi]] kwa joto. Mifano ya mnururisho isiyoonekana ni mnururisho wa [[sumakuumeme]] katika [[redio]] na [[TV]], [[eksirei]] au kinyuklia. Kuna viumbe vyenye milango ya fahamu kwa minururisho mingine, kwa mfano samaki au ndege zinazotambua uga za umeme au [[sumaku]]. [[Nyuki]] huona [[infraredi]] isiyoonekana kwa macho ya kibinadamu.